Cairo,Misri.
Winga wa zamani wa Chelsea Mfaransa Florent
Malouda amesaini mkataba wa miezi sita wa kuichezea Wadi Degla FC inayokipiga katika ligi kuu ya Misri.
Malouda,34 amesaini mkataba huo leo huko Ufaransa na anatarajiwa kuwasili Misri mapema wiki ijayo baada ya kumaliza mkataba wake na Delhi Dynamos ya India.
.
0 comments:
Post a Comment