728x90 AdSpace

Wednesday, January 13, 2016

SERIKALI YAMPA SAMATTA KIWANJA,PESA PIA YAAGIZA AJENGEWE SANAMU

Dar es salaam,Tanzania.

SIKIA HII!!Serikali imempatia Mbwana Samatta zawadi ya kiwanja huko kigamboni (Dar es salaam,pesa
taslimu kiasi ambacho hakijawekwa wazi pia imeiagiza TFF kujenga uwanja alioanzia
kucheza soka huko Mbagala na kuweka sanamu yake kama ishara ya kuheshimu sifa aliyoiletea Tanzania baada ya kutwaa tuzo ya mchezaji bora wa ndani wa Afrika.

Mbali na zawadi hizo pia Samatta atakuwa mgeni rasmi ya mchezo wa fainali wa kombe la Mapinduzi utakaopigwa leo huko Zanzibar kati ya Mtibwa Sugar na URA.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: SERIKALI YAMPA SAMATTA KIWANJA,PESA PIA YAAGIZA AJENGEWE SANAMU Rating: 5 Reviewed By: Unknown