London,England.
Kiungo wa Arsenal Mesut Ozil ametwaa tuzo ya mchezaji bora wa mwezi Disemba ya PFA (Fans' Player of the Month) kwa mara ya pili mfululizo.
Ozil ametwaa tuzo hiyo baada ya kupika/assist mabao matano na kufunga moja
Hii ni mara ya pili kwa Ozil kutwaa tuzo hiyo mara ya kwanza ilikuwa mwezi Novemba.
Nyota wengine waliokuwa wakiiwania tuzo hiyo ni Adrian (West Ham), Dele Alli
(Tottenham), Junior Stanislas (Bournemouth),Marko Arnautovic (Stoke), N'Golo Kante (Leicester), Olivier Giroud (Arsenal), Romelu
Lukaku (Everton), Troy Deeney (Watford) and
Yannick Bolasie (Crystal Palace).
0 comments:
Post a Comment