728x90 AdSpace

Monday, January 04, 2016

BENITEZ ATUPIWA VIRAGO REAL MADRID,ZIDANE KOCHA MPYA

MADRID,HISPANIA.

Klabu ya Real Madrid imemtimua kazi Rafa Benitez ikiwa ni miezi saba tu tang na kumtangaza nyota wake wa zamani Mfaransa Zinedine Zidane kuwa kocha wake mpya.

Hatua hiyo imefikiwa baada ya Benitez kushindwa kuipatia matokeo mazuri Real Madrid huku pia akiingia kwenye migogoro na wachezaji waandamizi wa mabingwa hao wa zamani wa La Liga.

 Baada ya kutangazwa kurithi mikoba ya Benitez,Zidane ameahidi kuitumikia Real Madrid kwa nguvu zake zote huku akisisitiza kufanya vizuri La Liga na Michuano ya Vilabu bingwa Ulaya.



  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: BENITEZ ATUPIWA VIRAGO REAL MADRID,ZIDANE KOCHA MPYA Rating: 5 Reviewed By: Unknown