Abuja,Nigeria.
Kocha wa Nigeria Sunday Oliseh ametangaza kikosi cha wachezaji 23 kitakacholiwakilisha taifa hilo la magharibi ya Afrika katika michuano ya CHAN inayotarajiwa kuanza kutimua vumbi lake nchini Rwanda kuanzia Januari 16 mpaka
Februari 7.
Nigeria iko kundi C pamoja na mataifa ya Tunisia, Niger na Guinea na michezo yake itapigwa katika dimba la Nyamirambo, Kigali.
KIKOSI KAMILI
Makipa: Ikechukwu Ezenwa (Sunshine Stars); Olufemi Thomas (Enyimba
International FC); Okiemute Odah (Warri Wolves)
Walinzi: Austin Oboroakpo (Abia Warriors); Kalu Okogbue (Rangers International); Jamiu Alimi (Shooting Stars); Mathew Etim (Rangers); Chima Akas
(Sharks FC); Stephen Eze (Sunshine Stars);Christopher Maichibi (Giwa FC); Samson
Gbadebo (Lobi Stars)
Viungo: Ifeanyi Mathew (El-Kanemi Warriors); Paul Onobi (Sunshine Stars);
Usman Mohammed (FC Taraba); Yaro Bature (Nasarawa United),Bartholomew Ibenegbu (Warri Wolves); Ibrahim Salau (Shooting Stars)
Mastraika: Osas Okoro (Rangers); Ezekiel Bassey (Enyimba); Tunde Adeniji (Sunshine Stars); Bright Onyedikachi (FC IfeanyiUbah); Chisom Chikatara (Abia Warriors); Prince Aggrey (Sunshine Stars)
0 comments:
Post a Comment