Rio de Janeiro,Brazil.
Staa wa FC Barcelona Neymar Dos Santos ameufunga mwaka 2015 kwa staili ya aina yake baada ya kutwaa kwa mara ya pili tuzo ya mchezaji wa bora wa mwaka wa Brazil iitwayo Samba Gold.
Neymar ametwaa tuzo hiyo baada ya kuwabwaga wapinzani wake wa karibu Douglas Costa (Bayern Munich) na Felipe Mello (Galatasaray/Inter Milan) kufuatia kuisaidia FC Barcelona kutwaa mataji matano mwaka 2015.
Tuzo ya Samba Gold ilianzishwa mwaka 2008 ikiwa ni maalumu kwa ajili ya kuwatunuku mchezaji wa Kibrazil waliofanya vizuri katika ligi mbalimbali za Ulaya katika mwaka husika.Neymar alitwaa tuzo hiyo kwa mara ya kwanza mwaka 2014.
MAMBO YALIKUWA HIVI
1. Neymar 37,87%
2. Douglas Costa 13,00%
3. Felipe Melo 9,39%
4. Philippe Coutinho 7,19%
5. Willian 5,72%
6. Gabriel Paulista 4,03%
7. Miranda 3,78%
8. Hulk 3,71%
9. Thiago Silva 2,93%
10.Alex Teixeira 2,04%
11.Jonas 1,79%
12.Daniel Alves 1,45%
13.Julio César 1,37%
14.David Luiz 1,20%
15.Fabinho 1,17%
16.Roberto Firmino 0,95%
17.Casemiro 0,47%
18.Marcelo 0,35%
19.Lucas Moura 0,30%
20.Rafinha 0,26%
21.Oscar 0,16%
22.Fernandinho 0,15%
23.Marquinhos 0,14%
24.Luiz Gustavo 0,12%
25.Maxwell 0,11%
26.Danilo 0,10%
27.Filipe Luis 0,09%
28.Luiz Adriano 0,08%
29.Felipe Anderson 0,07%
30.Alex Telles 0,00%
NYOTA WALIOWAHI KUITWAA TUZO HIYO
2008: Kaka (Milan AC)
2009: Luis Fabiano (FC Séville)
2010: Maicon (Inter Milan)
2011: Thiago Silva (Milan AC)
2012: Thiago Silva (PSG)
2013: Thiago Silva (PSG)
2014: Neymar (FC Barcelone)
2015: Neymar (FC Barcelone)
0 comments:
Post a Comment