Derby,England.
Manchester United imetinga hatua ya tano ya michuano ya kombe la FA baada ya jana usiku kuilaza Derby kwa mabao 3-1 katika mchezo mkali wa hatua ya nne uliopigwa katika dimba la iPro.
Magoli yaliyoipa ushindi Manchester United yamefungwa na Wayne Rooney,Daley Blind na Juan Mata huku George Thorne akiifungia Derby goli la kufutia machozi.
Vikosi
Manchester United: De Gea; Varela, Smalling,Blind, Borthwick-Jackson,Schneiderlin (Carrick 74), Fellaini; Lingard, Mata (Herrera 84), Martial; Rooney.
Derby: Carson; Christie, Keogh, Shackell,Warnock; Thorne (Russell 76); Ince, Butterfield,Johnson (Hendrick 76), Blackman (Camara 59),Martin.
0 comments:
Post a Comment