728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, January 28, 2016

    MSIBA MZITO:MJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI YA TFF AFARIKI DUNIA

    Dar es salaam,Tanzania.

    Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF) na Mwenyekiti wa Chama cha Mpira wa Miguu mkoa wa Simiyu, Epaphra Swai amefariki dunia leo asubuhi katika hospitali ya Muhimbili jijini Dar es salaam.

    TFF itawajulisha mipango ya msiba na mazishi ya marehemu Epaphra Swai baada ya kukaa na familia ya marehemu na kupanga utaraibu huo.

    Bwana ametoa, Bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MSIBA MZITO:MJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI YA TFF AFARIKI DUNIA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top