728x90 AdSpace

Saturday, October 22, 2016

Video:Barca yaitungua Valencia 3-2,Messi apiga mbili.

Valencia, Hispania.

LIONEL Messi amefunga mabao mawili ya kuiwezesha Barcelona kuichapa Valencia kwa jumla ya mabao 3-2 huko katika dimba la Estadio Mestalla.

Bao jingine la Barcelona limefungwa na Luis Suarez huku yale ya Valencia yakifungwa na Munir El Haddadi na Rodrigo Moreno.

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Video:Barca yaitungua Valencia 3-2,Messi apiga mbili. Rating: 5 Reviewed By: Unknown