Barranquilla,Colombia.
MSHAMBULIAJI wa Uruguay,Luis Suarez, ameungana na gwiji wa zamani wa Argentina ,Hernan Crespo,kuongoza chati za ufungaji mabao mengi katika michezo ya kusaka tiketi ya kufuzu kombe la dunia kwa mataifa ya Amerika Kusini maarufu kama CONMEBOL.
Bao moja alilofunga dhidi ya Colombia jana Jumanne Usiku katika mchezo ulioisha kwa sare ya 2-2 limemfanya Suarez,28,afikishe mabao 19 na kuwa sawa na Hernan Crespo ambaye kwa sasa ni Kocha wa klabu ya Kolkata.
Wafungaji wa muda wote wa Amerika Kusini kufuzu kombe la dunia.
1. Hernán Crespo (Argentina): 19 goals
2. Luis Suárez (Uruguay): 19 goals
3. Marcelo Salas (Chile): 18 goals
4 Iván Zamorano(Chile): 17 goals
0 comments:
Post a Comment