Madrid,Hispania.
LIGI ya mabingwa barani Ulaya maarufu kama UEFA Champions League inaendelea tena leo Jumanne kwa michezo minane kuchezwa katika viwanja vya miji mbalimbali barani humo.
Mabingwa wa kihistoria wa michuano hiyo Real Madrid watakuwa nyumbani Santiago Bernabeu kuwaalika Legia Warzawa kutoka Poland.
Mabingwa wa England,Leicester City watakuwa katika uwanja wao wa nyumbani wa King Power Stadium kupepetana na FC Copenhagen ya Denmark.
Jumanne Octoba 18,2016
Kundi E
Bayer Levkn v Tottenham
CSKA v Monaco
Kundi F
Real Madrid v Legia Warzawa
Sporting v Bor Dortmd
Kundi G
Club Brugge v FC Porto
Leicester v FC Copenhagen
Kundi H
Dinamo Zagreb v Sevilla
Lyon v Juventus
Jumatano Octoba 19,2016
Kundi A
Arsenal v Ludo Razgd
Paris St G v Basel
Kundi B
Dynamo Kiev v Benfica
Napoli v Besiktas
Kundi C
Barcelona v Man City
Celtic v Bor Monchengladbach
Kundi D
Bayern Mun v PSV Eindhoven
FC Rostov v Atl Madrid
0 comments:
Post a Comment