Hamburg, Ujerumani.
THOMAS Müller (Pichani) akishangilia moja kati ya mabao yake mawili aliyoifungia Ujerumani katika uwanja wa Volksparkstadion na kuiwezesha kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Jamhuri ya Czech katika mchezo wa kundi C wa kuwania kufuzu michuano ya kombe la dunia la mwaka 2018 huko nchini Urusi.
Muller alifunga mabao hayo katika dakika za 13', 65' huku Toni Kroos akifunga katika dakika ya 49'.
Kundi E:Robert Lewandowski amefunga mabao matatu (hat-trick) na kuiwezesha Poland kuichapa Denmark kwa mabao 3-2.Mabao ya Denmark yamefungwa na Glik pamoja na Yussuf Poulsen,
Matokeo Mengine
Group C
Germany 3-0 Czech Republic
Northern Ireland 4-0 San Marino
Group E
Poland 3-2 Denmark
Group F
Scotland 1-1 Lithuania
Slovenia 1-0 Slovakia
0 comments:
Post a Comment