728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, June 13, 2015

    AME ALLY ASAINI MIAKA MIWILI AZAM FC

    Klabu ya Azam Fc imeendelea kujiimarisha baada ya muda mfupi uliopita kukamilisha usajili wa mshambuliaji Ame Ally toka klabu ya Mtibwa Sugar ya Manungu,Morogoro.

    Ame maarufu kama "Zungu" amesaini mkataba wa miaka miwili baada ya kuridhika na malipo ambayo hata hivyo hayajawekwa wazi.

    Wakati huo huo Azam FC inatarajia kuanza mazoezi jumanne ijayo tarehe 16 kujiandaa ligi kuu msimu wa 2015/16 na mashindano ya kombe la Kagame litakalotimua vumbi jijini Dar es Salaam kuanzia July 11 mwaka huu.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: AME ALLY ASAINI MIAKA MIWILI AZAM FC Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top