Baada ya kushuhudia kumalizika
kwa mechi za raundi ya tatu hatimaye droo ya raundi ya nne (16 bora) yapangwa
na iko kama ifuatavyo…
Tottenham vs Brigton
Stoke vs Southampton
Shrewsbury vs Chelsea
Liverpool vs Swansea
Mk Dons vs Sheff Utd
Man City vs Newcastle
Fulham vs Derby
Mechi hizi kupigwa Oktoba 28-29
Baadhi ya matokea ya mechi za
jana usiku ni haya yafuatayo….
Chelsea 2-1 Bolton
Man City 7-0 Sheffield Wednesday
Newcastle 3-2 Crystal Palace
Tottenham 3-1 Nottingham Forest
0 comments:
Post a Comment