Kila mmoja
na rekodi yake.Wakati nyota kama Diego Costa wa klabu ya Chelsea na Leonardo
Ulloa wa Leicester City wakiweka rekodi
ya kuvifungia magoli mengi vilabu vyao katika ligi ya Epl,Gareth Barry (33) ambaye
yeye ni kiungo wa kutumainiwa wa klabu ya Everton yeye anazidi kujikusanyia tu
kadi za manjano.
Barry ambaye
juzi jumamosi katika mchezo wa ligi kuu kati ya klabu yake ya Everton na
Liverpool alilimwa kadi ya njano dakika ya pili tu ya mchezo huo na mwamuzi
Matin Atkison baada ya kumchezea madhambi Adam Lallana anafikisha jumla ya kadi
96 za njano na kuwa mchezaji wanne kuwa na idadi kubwa ya kadi hizo tangu
kuanzishwa kwa ligi hiyo mwaka 1992.
99: Kevin
Davies (Southampton, Blackburn, Bolton)
99: Lee
Bowyer (Leeds, West Ham, Newcastle, Birmingham)
97: Paul
Scholes (Manchester United)
96: Gareth
Barry (Aston Villa, Manchester City, Everton)
92: Scott
Parker (Charlton, Chelsea, Newcastle, West Ham, Tottenham, Fulham)
89: Robbie
Savage (Leicester, Birmingham, Blackburn, Derby)
85: George
Boateng (Coventry, Aston Villa, Middlesbrough, Hull City)
83: Kevin
Nolan (Bolton, Newcastle, West Ham)
82: Philip
Neville (Manchester United, Everton)
81: Wayne
Rooney (Everton, Manchester United)
0 comments:
Post a Comment