Winga Simon Msuva ameendelea kuonyesha mapenzi na klabu yake ya Yanga baada ya kuripotiwa kuongeza mkataba wa kuitumikia miamba hiyo yenye makazi yake mtaa wa twiga na jang
wani,Kariakoo Dar es Salaam.
Msuva ambaye ndiye mfungaji na mchezaji bora wa ligi kuu bara (VPL) msimu uliopita amesaini mkataba ambao utamfanya aendelee kuwa mchezaji wa Yanga mpaka mwaka 2018 kutokana.
Ikumbukwe Msuva alikuwa amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake wa zamani hivyo pamoja na huu mpya anakuwa na miaka mitatu kamili ya kuvaa jezi za kijani na manjano.
0 comments:
Post a Comment