Monaco,Ufaransa.
Klabu ya Monaco imeiambia klabu ya Chelsea iwape makinda wake wawili kwa mkopo ili iweze kumpata mshambuliaji Radamel Falcao Garcia.
Makinda wanaotakiwa na klabu ya Monaco ni Mario Pasalic (20) na Mbelgiji Charly Musonda (18).
Katika hatua nyingine baba mzazi wa Musonda,Charly Musonda Sn amesema kwenda kwa mwanaye katika klabu ya Monaco kutampa nafasi ya kucheza kinda huyo mwenye kipaji kikubwa cha soka.
0 comments:
Post a Comment