Chama cha soka cha Hispania (LFP) rasmi kimeuza haki za matangazo ya Televisheni ya ligi ya La Liga msimu wa 2015-16 kwa
kampuni ya Telefonica kwa kitita cha €600m.
Kufuatia makubaliano hayo jaliyofikiwa jana ijumaa,Telefonica itakuwa ikirusha "LIVE" michezo yote ya ligi ya La Liga, La Segunda huku mechi za Copa del Rey zikilipiwa kwa mfumo wa pay -per -view.
0 comments:
Post a Comment