728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, July 15, 2015

    MUGIRANEZA ASAINI MIAKA MIWILI AZAM FC,WANGA NA LUKONG WAKATAA KUFANYIWA MAJARIBIO

    Kiungo Mnyarwanda Jean Baptiste Mugiraneza "Migi" amesaini mkataba wa miaka miwili wa kuichezea Azam Fc akitokea APR ya Rwanda.

    Pamoja na kusaini kuichezea Azam
    FC, Mugiraneza ataondoka kurejea Rwanda, halafu atarejea nchini akiwa na timu yake ya APR ambayo ataichezea katika michuano ya Kombe la Kagame itakayofanyika jijini Dar es Salaam kabla ya kujiunga rasmi na Azam FC baada ya michuano hiyo.

    Wakati huo wachezaji wengine wawili wa kigeni Nelson Lukong (Cameroun) na Allen Wanga (Wanga) wamekataa kufanyiwa majaribio katika klabu ya Azam kitendo ambacho kimepingwa na kocha Stewart Hall ambaye amesisitiza kuwa hawezi kusajili mchezaji bila ya kumfanyia majaribio.

    Hall amesema "Siko tayari kumpa mkataba mchezaji yoyote kwa kusikia historia yake badala yake nataka nimuone hapa akicheza

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MUGIRANEZA ASAINI MIAKA MIWILI AZAM FC,WANGA NA LUKONG WAKATAA KUFANYIWA MAJARIBIO Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top