Kiungo Fabian Delph amekamilisha uhamisho wa kujiunga na Manchester City kutoka klabu ya Aston Villa.
Delph amesajiliwa kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 8 na amesaini mkataba wa miaka mitano Etihad.
Nyota huyo atavaa jezi namba 18 msimu ujao.Delph aliichezea Aston Villa michezo 128 na kufunga magoli 8.
0 comments:
Post a Comment