728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, July 15, 2015

    ARSENAL YAANZA PRE-SEASON KWA KISHINDO YAIFUMUA SINGAPORE XI 4-0,AKPOM APIGA HAT-TRIK

    Klabu ya Arsenal imeanza vyema maandalizi ya ligi kuu baada ya leo mchana kuibuka na ushindi mkubwa wa magoli 4-0 dhidi ya Singapore XI katika muendelezo wa michuano ya Backlays Asia Trophy.

    Katika mchezo huo ambao Arsenal ilitumia idadi kubwa ya wachezaji chipukizi, ilijipatia magoli yake kupitia kwa mshambuliaji wake kinda Chuba Akpom aliyefunga magoli matatu (hat-trik),katika dakika za 29,75 na 80 huku kiungo Jack Wilshere akifunga moja dakika ya 60.

    Kufuatia ushindi huo Arsenal itaingia tena dimbani jumamosi kuvaana na Everton ambayo iliibuka na ushindi wa penati 5-4 dhidi ya Stoke City.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: ARSENAL YAANZA PRE-SEASON KWA KISHINDO YAIFUMUA SINGAPORE XI 4-0,AKPOM APIGA HAT-TRIK Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top