728x90 AdSpace

Sunday, July 12, 2015

YAMETIMIA;LIVERPOOL YAMUUZA STERLING KWENDA MAN CITY KWA £49M,YATUMA £22M KWA SHERYSHEV



Hatimaye Liverpool imekubali kumuuza winga wake Raheem Sterling kwenda Manchester City baada ya klab
u hiyo ya jiji la Manchester kutoa kitita cha £49m.

Manchester City imefanikiwa kuishawishi Liverpool kwa kiasi hicho cha fedha baada ya ofa zake kadhaa kugonga mwamba siku za hivi karibuni.

Wakati huo huo Liverpool kuwa imetuma ofa ya £22m kwenda Real Madrid kwa ajili wa winga wake Mrusi Denis Cheryshev,24 anayekipiga kwa mkopo Villareall.
  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: YAMETIMIA;LIVERPOOL YAMUUZA STERLING KWENDA MAN CITY KWA £49M,YATUMA £22M KWA SHERYSHEV Rating: 5 Reviewed By: Unknown