Klabu ya Sonderjysk FC ya Denmark imemsajili winga/mshambuliaji wa klabu ya Simba SC Mganda Emmanuel Okwi kwa mkataba wa miaka mitano.
Okwi mwenye miaka 22 atakuwa a
kivuna mshahara wa dola 10,000 (zaidi ya milioni 25) kwa mwezi,akipatiwa pia nyumba,usafiri na hudumu nyinyine ambazo ni za lazima kwa binadamu yoyote yule.
0 comments:
Post a Comment