Klabu ya Manchester United united imeanza vyema ziara yake ya maandalizi ya msimu mpya wa ligi kuu England baada ya kuibuka na ushindi wa goli 1-0 dhidi ya wakali wa Mexico Club America katika mchezo ulimalizika asubuhi hii.
Katika mchezo huo uliopigwa Marekani goli la ushindi la Manchester United limefungwa na kiungo Morgan Schneiderlin kwa kichwa dakika ya 5.
Kikosi cha Manchester United kilikuwa hivi
Man Utd (Kipindi cha kwanza, 4-2-3-1): Johnstone; Darmian, Jones, Blind, Shaw; Carrick, Schneiderlin; Mat, Depay, Young; Rooney.
0 comments:
Post a Comment