Rais wa klabu ya Juventus Andrea Agnelli amesema kiungo wa klabu hiyo Mchile Arturo Vidal anaweza kuuzwa muda wowote kuanzia sasa licha ya Mtendaji wa klabu hiyo Giuseppe Marotta mapema j
ana kusema nyota huyo pamoja na mwenzie Paul Pogba hawauzwi.
Akiongea na Tuttosport Agnelli amesema
"Hakuna kilicho 100% katika soka,wachezaji hawauziki kuanzia Septemba 1.Nakumbuka miaka kadhaa nyuma tulisema Christian Vieri hauzwi lakini siku chache baadae akaenda Atletico Madrid.Wachezaji wangu hawauzwi kuanzia Septemba 1.
Kauli hiyo ya Agnelli imepokewa kwa mikono miwili na vilabu vya Arsenal na Real Madrid kuhusiwa na mpango wa kumsajili nyota huyo mahiri wa nafasi ya kiungo cha ulinzi.
0 comments:
Post a Comment