728x90 AdSpace

  • Latest News

    Thursday, July 09, 2015

    KUMEKUCHA AZAM FC:KIUNGO MZUNGU ATUA KUJARIBU BAHATI YAKE,KIPA MCAMEROUN NAYE NDANI!!

    Klabu ya Azam FC huenda ikaandika historia nyingine katika soka la Tanzania kwa kuwa na mchez
    aji wa kizungu kama ilivyo kwa klabu ya Yanga.

    Habari ambazo Soka Extra imezipata ni kuwa Azam FC leo na kesho itapata ugeni wa kiungo Ryan James Burge kutoka England pamoja na mlinda mlango Mcameroun Nelson Lukong kutoka klabu ya AS Vita ambao wanakuja kufanyiwa majaribio na wakifanikiwa watasaini kuwachezea mabingwa hao wa zamani wa Tanzania.

    Bryan James Burge ni nani?
    Burge alizaliwa mwaka 1988.Katika historia yake Burge amewahi kuvichezea vilabu vya Birmingham City,Burnet na Machida Zeldvia ya Japan kabla ya kutemwa na Newport County msimu wa 2013-2014.

    Pia kabla ya kuja Azam FC Burge ameshawahi kufanya majaribio katika nchi za England,Uholanzi na Japan.

    Nelson Lukong ni nani?
    Lukong alizaliwa Cameroun miaka 35 iliyopita anakuja Azam baada ya kutemwa na klabu ya AS Vita kabla ya hapo alikuwa akichezea klabu ya Les Astres.

    Klabu ya Azam FC huenda ikaandika historia nyingine katika soka la Tanzania kwa kuwa na mchezaji wa kizungu kama ilivyo kwa klabu ya Yanga.

    Habari ambazo Soka Extra imezipata ni kuwa Azam FC leo na kesho itapata ugeni wa kiungo Ryan James Burge kutoka England pamoja na mlinda mlango Mcameroun Nelson Lukong kutoka klabu ya AS Vita ambao wanakuja kufanyiwa majaribio na wakifanikiwa watasaini kuwachezea mabingwa hao wa zamani wa Tanzania.

    Bryan James Burge ni nani?
    Burge alizaliwa mwaka 1988.Katika historia yake Burge amewahi kuvichezea vilabu vya Birmingham City,Burnet na Machida Zeldvia ya Japan kabla ya kutemwa na Newport County msimu wa 2013-2014.

    Pia kabla ya kuja Azam FC Burge ameshawahi kufanya majaribio katika nchi za England,Uholanzi na Japan.

    Nelson Lukong ni nani?
    Lukong alizaliwa Cameroun miaka 35 iliyopita anakuja Azam baada ya kutemwa na klabu ya AS Vita kabla ya hapo alikuwa akichezea klabu ya Les Astres.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: KUMEKUCHA AZAM FC:KIUNGO MZUNGU ATUA KUJARIBU BAHATI YAKE,KIPA MCAMEROUN NAYE NDANI!! Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top