728x90 AdSpace

  • Latest News

    Wednesday, July 08, 2015

    KIMONDO YAKUBALI GEOFREY MWASHIUYA AKIPIGE YANGA!!

    Hatimaye Yanga na Kimondo zimemaliza kuhusiana na mchezaji Geofrey Mwashiuya.
    Katibu Mkuu wa Yanga, Dk Jonas Tiboroha amesafiri hadi mjini Mbozi na mwisho wamefikia m
    wafaka.

    “Kweli tulikaa kama uongozi wa Yanga, tukaona ni jambo zuri kumalizana vizuri na Kimondo.

    “Tumemalizana baada ya kukutana nao, wakatupa wanachodai tukaangalia na mwisho tumefikia mwafaka.
    “Sasa Mwashiuya ni mchezaji wa Yanga na Kimondo wamelipitisha hilo,” alisema.

    Awali, Kimondo ilikuwa ikipinga Yanga kumsajili Mwashiuya huku wakiwataka TFF kuwa makini na kutompitisha.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: KIMONDO YAKUBALI GEOFREY MWASHIUYA AKIPIGE YANGA!! Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top