728x90 AdSpace

  • Latest News

    Saturday, July 18, 2015

    OZIL/WALCOTT NA CAZORLA WAIPA TAJI LA KWANZA ARSENAL,WAIDUNDA EVERTON 3-1



    Klabu ya Arsenal imetwaa ubingwa wa Backleys Asia Trophy baada ya kuifunga klabu ya Everton goli 3-1 katika mchezo uliopigwa jioni ya leo huko Singapore.

    Arsenal ikimchezesha kwa mara ya kwanza mlinda mlango wake mpya Peter Cech ilipata magoli yake kupitia kwa Theo Walcott,Mesut Ozil na nahodha Santiago Cazorla huku lile la Everton likifungwa na Ross Barkley.
    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: OZIL/WALCOTT NA CAZORLA WAIPA TAJI LA KWANZA ARSENAL,WAIDUNDA EVERTON 3-1 Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top