728x90 AdSpace

  • Latest News

      Sunday, July 05, 2015

      CHILE YATAWALA XI YA COPA AMERICA

      Santiago,Chile.

      Chama cha soka cha America ya Kusini (CONMBEL) kimetangaza kikosi bora cha michuano ya Copa America iliyofikia tamati yake hapo jana na wenyeji Chile kutwaa ubingwa kwa mik
      waju ya penati 4-1 dhidi ya Argentina.

      Katika kikosi hicho kilichotolewa leo hii Chile imeingiza wachezaji watano huku Argentina ikiingiza nyota wawili pekee huku Brazil ikiwa haina nyota yoyote katika kikosi hicho.

      Kikosi kamili ni kama ifuatavyo...


      • Blogger Comments
      • Facebook Comments

      0 comments:

      Post a Comment

      Item Reviewed: CHILE YATAWALA XI YA COPA AMERICA Rating: 5 Reviewed By: Unknown