728x90 AdSpace

  • Latest News

    Sunday, July 12, 2015

    AZAM FC YAENDELEZA UBABE TANGA YAIFUMUA COASTAL UNION 1-0.

    Kikosi cha Azam FC ‘Wanalambalamba’ kimeendeleza ushindi kwenye ziara yake mkoani Tanga baada ya hii leo kuibuka kidedea kwa kuigaragaza Coasta Union ‘Wagosi wa Kaya’ kwa goli 1-0 goli lililofungwa na Ame Ally ‘Zungu
    ’ kwenye mchezo wa kirafiki wa kujipima nguvu kuelekea kwenye mashindano ya Kagame Cup pamoja na ligi kuu Tanzania bara kwa msimu ujao.

    Jana Azam walicheza na African Sports ya Tanga na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa goli 1-0 goli lililofungwa na mshambuliaji John Bocco ‘Adebayor’

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: AZAM FC YAENDELEZA UBABE TANGA YAIFUMUA COASTAL UNION 1-0. Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top