728x90 AdSpace

  • Latest News

    Monday, July 06, 2015

    MATIC AWAKUMBUKA ESSIEN NA BALLACK

    Kiungo mkabaji wa timu ya soka ya Chelsea FC timu ya taifa ya Serbia Nemanja Matic akizungumza katika mtandao wa Chelsea FC

    Amesema wakati anafika chelsea kwa mara ya kwanza alikuwa anajua anakuja kucheza kwenye klabu kubwa na pia kucheza na wache
    zaji wakubwa duniani

    Pia alijifunza mengi baada ya kufanya mazoezi na viungo na wakongwe kama Michael Ballack,Frank Lampard na Michael Essien.

    Matic alirudi Chelsea FC mwaka 2014 mwezi januari baada ya kuondoka mwaka 2011 akiwa kinda kuelekea Benfica

    Akimalizia kusema Matic alidai viungo hao watatu Essien ,Ballack na Lampard ndo waliomfanya yeye kuwa bora kwa sababu alijifunza mengi kutoka kwao pia anawashukuru kwa upendo wao kwake kwa sababu wakati ule yeye anasema alikuwa kijana mdogo ambaye hakuwa na uzoefu na ligi kuu ya England pia klabu kubwa

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: MATIC AWAKUMBUKA ESSIEN NA BALLACK Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top