Leicester City inayotumia dimba la King Power Stadium kwa mechi zake za nyumbani imemtangaza Muitaliano Claudio Ranie
ri "Tinkerman" kuwa kocha wake mkuu baada ya mapema mwezi uliopita kumtimua aliyekuwa kocha wake Nigel Pearson.
Ranieri,63 ambaye hakuwa na kazi tangu mwaka jana alipoacha kuinoa timu ya taifa ya Ugiriki anarejea tena England akiwa kama kocha baada ya kuondoka miaka 10 iliyopita baada ya kufutwa kazi ya kuinoa klabu ya Chelsea.
0 comments:
Post a Comment