
Wednesday, December 31, 2014

Kuna kila dalili kuwa mshambuliaji Zlatan Ibrahimovic (33) ameichoka klabu yake ya Paris Saint Germain na anataka kurudi Italia. Ibrahimovi...
TEVEZ:SIONGEZI MKATABA JUVENTUS
Wednesday, December 31, 2014
Mshambuliaji Carlos Teves 30 ameishitua klabu hiyo baada ya kuweka wazi kuwa hana mpango wa kuendelea kukipiga hapo pindi mkataba wake utaka...
MAYANJA:UBINGWA NI WA YANGA AU AZAM
Wednesday, December 31, 2014
Kocha Mkuu wa Kagera Sugar amezitaja timu za Azam FC na Yanga kuwa ndizo pekee zenye nafasi kubwa ya kutwaa ubingwa msimu huu huku akizipa ...
CISSE:FA HAIJAKOSEA KUNIFUNGIA
Wednesday, December 31, 2014
Mshambuliaji wa klabu ya Newcastle Papis Demba Cisse amesema chama cha soka cha England (FA) hakikukosea kumfungia kutocheza mechi tatu kwa ...
MARIO SUAREZ ACHOKA BENCHI ATL MADRID
Wednesday, December 31, 2014
OKiungo wa klabu ya Atletico Madrid Mario Suarez 27 ameripotiwa kuwa katika mipango ya kutimkia England katika dirisha lijalo la usajili. S...
IVAN WA SANTIAGO,ZAMORANO WA CHILE
Wednesday, December 31, 2014
U kifika leo katika jiji la Santiago nchini Chile jiji linalosifika kwa kuwa na sura nzuri ambayo ni kishawishi tosha kwa mgeni yoyote yule...
Tuesday, December 30, 2014
KIKOSI BORA EPL HIKI HAPA
Tuesday, December 30, 2014
Ligi kuu ya soka nchini England ikiwa imefika katikati wachambuzi wa soka nchini humo wamejaribu kuja na vikosi vyao bora vya mwaka huu wa 2...
WAAMUZI BONGO HEBU CHAPENI ILALE
Tuesday, December 30, 2014
Imeandaliwa na Paul Manjale 0717 705548 Wakati waingereza wakijidai kwa kuwa na Ken Aston muamuzi bora kabisa kuwahi kutokea duniani huku ...
WAJUE MAKIPA WANAOLIPWA VIZURI ULAYA
Tuesday, December 30, 2014
Wafuatao ni makipa wanaolipwa vizuri ulimwenguni. 1-Iker Casillas Kipa Iker Cassilas wa Real Madrid ndiye anayeshika nafasi ya kwanza kw...
LIVERPOOL KAMA BOKO HARAM YAIUA SWANSEA 4-1
Tuesday, December 30, 2014
Klabu ya Liverpool imeuaga mwaka 2014 kwa style ya aina yake baada ya kuifunga klabu ya Swansea City kwa magoli 4-1 katika mchezo mkali wa ...
IVORY COAST YATANGAZA KIKOSI CHA MAUAJI AFCON
Tuesday, December 30, 2014
Kocha wa timu ya taifa ya Ivory Coast Herve Renard jana usiku alitangaza kikosi kitakachokwenda nchini Equatorial Guinea kuwania ubingwa wa...
PHIRI ATIMULIWA SIMBA KURITHIWA NA MZUNGU
Tuesday, December 30, 2014
MSERBIA Goran Kopunovic atawasili Jumatano Dar es Salaam kwa ajili ya kusaini Mkataba wa kuifundisha klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam. R...
Monday, December 29, 2014
PARDEW KOCHA MPYA CRYSTAL PALACE
Monday, December 29, 2014
Hatimaye klabu ya Crystal Palace imefanikiwa kuinasa saini ya kocha Alein Pardew 53 toka klabu ya Newcastle United kuchukua nafasi ya kocha ...
NAMBA ZA JEZI NA MAANA ZAKE
Monday, December 29, 2014
Imeandaliwa na Paul Manjale Huenda ukawa na maswali mengi sana juu ya baadhi ya namba zilizoko migongoni mwa baadhi ya wacheza soka dun...
Sunday, December 28, 2014
NYOTA ARSENAL AWEKEWA BODYGUARD WA KUMLINDA MPAKA UWANJANI
Sunday, December 28, 2014
Nyota kinda wa klabu ya Arsenal Brooklyn Bechkam ameripotiwa kuwekewa mlinzi wa kumlinda maarufu kama bodyguard kokote anakokuwa ikiwa ni ...
Friday, December 26, 2014
SONG AMUAPIA MKE WAKE``FABREGAS ATANITAMBUA LEO"
Friday, December 26, 2014
Kiungo wa klabu ya West ham United Mcameroun Alexander Song amemuonya kiungo wa klabu ya Chelsea Cesc Fabregas kuwa asitegemee mtemremko ka...
Thursday, December 25, 2014
KOCHA BAYERN:REUS NENDA MADRID USIJE BAYERN
Thursday, December 25, 2014
Kocha wa zamani wa klabu ya Bayern Munich Jupp Heynckes amemtaka winga wa klabu ya Borussia Dortmund Marco Reus kutojiunga na klabu ya Baye...
VAN GAAL KIBOKO AMSHUSHA FALCAO KWENYE BASI MBIO MBIO
Thursday, December 25, 2014
Manchester,England. Kocha mkuu wa klabu ya Manchester United Mdachi Louis Van Gaal amewapiga marufuku nyota wa klabu hiyo kupaki magari ...
MCHEZAJI BORA AFRICA NI .. ..WAJUE NYOTA WANAOIWANIA HAPO JANUARI 8
Thursday, December 25, 2014
Hatimaye vinara watatu watakaochuana kuwania taji la mchezaji bora wa Afrika watangazwa rasmi na mshindi kutangazwa tarehe 8 januari 2015 hu...
Wednesday, December 24, 2014
PODOLSKI HUYOOOO INTER MILAN
Wednesday, December 24, 2014
Habari kutoa ndani ya klabu ya Arsenal zinadai kuwa mshambuliaji Lukas Podolski anajiandaa kuiacha klabu hiyo ya jiji la London na kujiunga...
RODGERS AIKATAA PITCH YA ANFIELD
Wednesday, December 24, 2014
Pitch ya kuchezea ya Uwanja wa Anfield unaomilikiwa na klabu ya Liverpool utafanyiwa marekebisho msimu ujao kufuatia maombi ya kocha mkuu wa...
WENGER AMDAKA SERGIO RAMOS
Wednesday, December 24, 2014
Klabu ya Arsenal kupitia kocha wake mkuu Arsene Wenger imefanya mazungumzo ya kushitukiza na wakala wa mlinzi wa klabu ya Real Madrid Sergio...
Tuesday, December 23, 2014
JANUZAJ KUTIMKA UNITED JANUARI
Tuesday, December 23, 2014
Klabu ya Manchester United imemfungulia milango ya kutimka klabuni hapo kwa mkopo mwezi januari kinda wake Adnan Januzaj. Januzaj (19) raia...
Monday, December 22, 2014
WAAMUZI 11 BONGO WAULA FIFA
Monday, December 22, 2014
Shirikisho la soka ulimwenguni FIFA limetoa orodha mpya ya waamuzi linaowatambua ,Kwenye orodha hiyo kuna jumla ya waamuzi 18 kutoka Tan...
STERLING CHIPUKIZI BORA 2014
Monday, December 22, 2014
Mshambuliaji kinda wa Liverpool, Raheem Sterling amekabidhiwa Tuzo ya Mwanasoka bora chipukizi mwaka 2014 na Chama cha soka cha England F...
Sunday, December 21, 2014
KLOPP KAMA WENGER AENDELEA KUNG'ANG'ANIA DORTMUND LICHA YA VIPIGO
Sunday, December 21, 2014
Kocha mkuu wa klabu ya Borussia Dortmund Jurgen Klopp ameendelea kusisitiza kuwa hang'oki Dortmund licha ya klabu hiyo kuendelea kupokea...
MAN CITY NOMA!!YAMTENGEA STERLING £60M ATUE ETIHAD
Sunday, December 21, 2014
Wakati klabu ya Liverpool ikihangaika kumshawishi nyota wake Raheem Sterling kumsaini mkataba mpya klabu ya Manchester City imeibuka na mpya...
TETESI ZA USAJILI KOTE DUNIANI ZIKO HAPA!!
Sunday, December 21, 2014
Man City ready £20m De Bruyne move Source: Daily Express Sunday, December 21, 2014 00:53 Manchester City are lining up a bid for ex- Che...
BALOTELLI AITWA NAPOLI,TORRES KURUDI LIVEPOOL
Sunday, December 21, 2014
Zikiwa zimebaki siku chache kabla ya dirisha la usajili barani Ulaya lifunguliwe tayari mbio za kuwania wachezaji mbalimbali zimeshaanza huk...
OX,WALCOTT KUIVAA LIVERPOOL LEO
Sunday, December 21, 2014
Kambi ya klabu ya Arsenal imepata faraja baada ya nyota wake wawili waliokuwa majeruhi Theo Walcott na Alex Oxlade Chamberlain kupona majera...
Thursday, December 11, 2014
BALE,BENZEMA KUMPISHA AGUERO MADRID
Thursday, December 11, 2014
Klabu ya Real Madrid inasemekana kuwa katika mipango ya kuwapiga bei nyota wake wawili mahiri wa safu ya ushambuliaji Karim Benzema na Gare...
SILVA MBIONI KUTUA ARSENAL
Thursday, December 11, 2014
Klabu ya Arsenal iko katika hatua nzuri za kumnasa kinda mahiri wa safu ya kiungo Mbrazil Lukas Silva toka klabu ya Cruzeiro.Habari toka d...
Thursday, December 04, 2014
MAKUNDI AFCON 2015 HAYA HAPA!!
Thursday, December 04, 2014
Group A: Equatorial Guinea, Congo, Gabon, Burkina Faso Group B: Zambia, DR Congo, Cape Verde,Tunisia Group C: Ghana, Senegal, South Afric...
Wednesday, December 03, 2014
DROO YA FAINALI ZA AFCON KUPANGWA LEO
Wednesday, December 03, 2014
Mabingwa wa zamani Zambia na waandalizi wa kombe la bara Afrika Equitorial Guinea ni miongoni mwa timu zitakazoorodheshwa katika droo ya ...
KUNANI USIKU WA LEO ULAYA?PATA KUJUA KITAKACHOTOKEA VIWANJANI
Wednesday, December 03, 2014
RATIBAYA MICHUANO MBALIMBALI JUMATANO YA LEO!! Barclays Premier League (EPL) 10:45 PM - Arsenal vs Southampton 10:45 PM - Chelsea vs Tott...
SHABIKI ALIYEMRUSHIA MESSI CHUPA KUFUNGIWA MAISHA
Wednesday, December 03, 2014
Valencia,Hispania Klabu ya Valencia imetangaza itamfungia maisha shabiki wake aliyerusha chupa na kumjeruhi nyota wa klabu ya Barcelona Lio...
Tuesday, December 02, 2014
ZABALETA:LAMPARD KAMA KINDA LA MIAKA 18
Tuesday, December 02, 2014
Mlinzi wa kulia wa klabu ya Manchester City Pablo Zabaleta ameibuka na kumwagia sifa kemkem nyota wa klabu hiyo Frank Lampard kufuatia kuis...
WARNOCK:ZAHA NI ZAIDI YA NYOTA KIBAO WALIOKO UNITED
Tuesday, December 02, 2014
Kocha mkuu wa klabu ya Crystal Palace Neil Warnock anaamini kuwa winga wake Wilfred Zaha (21) ni bora kuliko nyota wengi walioko katika kik...
Sunday, November 30, 2014
ARSENAL YAMTENGEA SISSOKO £15M
Sunday, November 30, 2014
Baada ya kumpoteza kiungo wake Jack Wilshere kwa majeraha ya kifungo cha mguu na kuwa nje kwa miezi mitatu klabu ya Arsenal inapanga kutumi...
LIVERPOOL KUUZA WAWILI KUNUNUA KIPA
Sunday, November 30, 2014
Klabu ya Liverpool kupitia kocha wake mkuu Brendan Rogers inapanga kuwapiga bei nyota wake wawili Glen Johnson na Fabio Borin ili kumsajili...
MADRID YAMTEMA CHICHARITO
Sunday, November 30, 2014
Klabu ya Real Madrid imeiambia klabu ya Manchester United kuwa haitampa mkataba wa kudumu nyota aliyeko klabuni hapo kwa mkopo Mmexico Javi...
Monday, November 24, 2014
GAZZA:WENGER NA ARSENAL YAKE WAMEOKOA MAISHA YANGU
Monday, November 24, 2014
Kiungo wa zamani wa timu ya taifa ya England na klabu ya Tottenham Hotspurs Paul Gascoigne Gazza 47 ameibuka na kusema kuwa klabu ya Arsenal...
Sunday, November 23, 2014
MESSI AMVUA UFALME TELMO ZARRA
Sunday, November 23, 2014
Ukiwa ni msimu wake wa kumi tu tangu aanze kuichezea klabu ya Barcelona hatimaye mshambuliaji/winga Lionel Messi jana jumamosi usiku alifan...
Friday, November 21, 2014
SUAREZ KUPOTEZA MANOTI AKING'ATA
Friday, November 21, 2014
Louis Suarez itabidi awe mpole tu. Imegundulika kuwa kama akifanya tena ujinga wake wa kung’ata mtu pale Nou Camp basi atalambwa dau kubw...
Wednesday, November 19, 2014
GLEN JOHNSON ANUKIA ROMA
Wednesday, November 19, 2014
Mlinzi wa klabu ya Liverpool Muingereza Glen Johnson 30 mapema wiki hii amekataa mkataba mpya wa miaka miwili aliyopewa na klabu yake hiyo ...
DI MARIA HATIHATI KUIVAA ARSENAL JUMAPILI
Wednesday, November 19, 2014
Winga wa klabu ya Manchester United Muargentina Angel Di Maria anasubiri vipimo vya X-ray ili kujua kama atakuwa miongoni mwa nyota wa klabu...
Tuesday, November 18, 2014
SEAMAN:CECH WA NINI WAKATI TUNA SZCZESNY
Tuesday, November 18, 2014
Mlinda mlango wa zamani wa klabu ya Arsenal David Seaman ameitaka klabu hiyo kuachana na mpango wa kumsajili mlinda mlango wa klabu ya Chel...
Monday, November 17, 2014
RAMSEY:TARATIBU KIWANGO CHANGU KINAREJEA
Monday, November 17, 2014
Kiungo wa timu ya taifa ya Wales Aaron Ramsey ameibuka na kudai kuwa taratibu ameanza kurejea kwenye kiwango chake cha msimu uliopita. Rams...
RAISI BARCELONA ATUPWA JELA KWA RUSHWA
Monday, November 17, 2014
Raisi wa zamani wa klabu ya Fc Barcelona Jose Nunez ameanza kutumikia kifungo cha miaka miwili na miezi miwili jela kwa kosa la kutoa rush...
GRANT NDIYE CHAGUO LETU GHANA
Monday, November 17, 2014
Raisi wa chama cha soka cha Ghana Kwesi Nyantakyi amebainisha kuwa sifa na uwezo ndivyo vimefanya Avram Grant 59 aibuke mshindi katika kinya...
Subscribe to:
Posts (Atom)