Hatimaye vinara watatu watakaochuana kuwania taji la mchezaji bora wa Afrika watangazwa rasmi na mshindi kutangazwa tarehe 8 januari 2015 huko Lagos Nigeria.
Wanaogombania tuzo mbalimbali ni hawa wafuatao......
Mchezaji bora Afrika kwa wanaume.
Pierre-Emerick Aubameyang (Gabon and
Borussia Dortmund)
Vincent Enyeama (Nigeria and Lille)
Yaya Toure (Cote d’Ivoire and Manchester
City)
Mchezaji bora wa ndani ya Africa
Akram Djahnit (Algeria and ES Setif)
El Hedi Belamieri (Algeria and ES Setif)
Firmin Mubele Ndombe (DR Congo and AS
Vita)
Mchezaji bora wa kike Africa
Annette Ngo Ndom (Cameroon and Amazon
Grimstad)
Asisat Oshoala (Nigeria and River Angels)
Desire Oparanozie (Nigeria and Guingamp)
Mchezaji bora kijana
Asisat Oshoala (Nigeria and River Angels)
Fabrice Ondoa (Cameroon and Barcelona)
Uchechi Sunday (Nigeria and River Angels)
Vipaji adimu(Vinavyokuja juu)
Clinton N’jie (Cameroon and Olympique Lyon)
Vincent Aboubakar (Cameroon and Porto)
Yacine Brahimi (Algeria and Porto)
Kocha bora wa mwaka
Florent Ibenge (DR Congo)
Kheireddine Madoui (ES Setif)
Vahid Halilhodžić ( Algeria)
Timu bora ya taifa ya wanaume
Algeria
Libya
Nigeria
Timu bora ya taifa ya wanawake
Cameroon
Nigeria
Nigeria U-20
Klabu bora ya mwaka(Club of the Year)
Al Ahly (Egypt)
AS Vita (DR Congo)
ES Setif (Algeria)
0 comments:
Post a Comment