Mshambuliaji kinda wa Liverpool, Raheem
Sterling amekabidhiwa Tuzo ya Mwanasoka
bora chipukizi mwaka 2014 na Chama cha
soka cha England FA.
Sterling alikabidhiwa tuzo hiyo kabla ya Mechi
wa ligi kuu ya England kati ya Liverpool dhidi
ya Arsenal wakiwa uwanja wa nyumbani
Anfield, ambapo mechi hiyo imemalizika kwa
sare ya goli 2-2.
FA imekuwa na utaratibu wa kutoa tuzo ya
Mwanasoka bora wa mwaka kwa wachezaji
chipukizi wanaofanya vizuri katika mchezo wa
soka.
0 comments:
Post a Comment