OKiungo wa klabu ya Atletico Madrid Mario Suarez 27 ameripotiwa kuwa katika mipango ya kutimkia England katika dirisha lijalo la usajili.
Suarez anayecheza nafasi ya kiungo cha ulinzi anataka kuondoka Atletico baada ya kuchoshwa na benchi baada ya kujikuta akiwa chaguo la mwisho nyuma ya viungo Gabi,Tiago,Raul Garcia na Sauli Nungez.
Vilabu vinavyoripotiwa kumtupia jicho kiungo huyu ni Arsenal na Manchester United na Roma ya Italia
0 comments:
Post a Comment