Mshambuliaji Carlos Teves 30 ameishitua klabu hiyo baada ya kuweka wazi kuwa hana mpango wa kuendelea kukipiga hapo pindi mkataba wake utakapo fikia tamati 2016.
Teves aliyejiunga na mabingwa hao wa ligi ya Seria A mwaka 2013 akitokea klabu ya Manchester City kwa ada ya £10m kufanikiwa kufumania nyavu mara 36 katika michezo 72.
Amesema``Nataka kuuheshimu mkataba wangu mpaka 2016.
Huo ndiyo mpango wangu.Sitaki kuongeza mkataba;hivyo ndivyo ninavyojisikia kwa sasa,"
Tevez anatarajiwa kurudi Argentina kukipiga na klabu yake ya utotoni ya Boca Juniors kabla ya kutundika daruga.
0 comments:
Post a Comment