Kocha wa timu ya taifa ya Ivory Coast Herve Renard jana usiku alitangaza kikosi kitakachokwenda nchini Equatorial Guinea kuwania ubingwa wa Africa maarufu kama (Afcon) zitakazoanza januari 17.
Ivory Coast itaanza kutupa karata yake ya kwanza Januari 20 itakapovaana na wenyeji Guinea kuusaka ubingwa wa Africa baada ya kuunyakua mwaka 1992.
Kocha Herve Renard amemuita kikosi mlinzi Kolo Toure ambaye tayari ameshatangaza kuachana na timu hiyo mara baada ya kumalizika kwa michuano hiyo.
Kikosi kamili ni
Makipa: Boubacar
Barry (Lokeren), Sylvain Gbohouo (Sewe
Sport), Sayouba Mande (Staebek)
Mabeki: Jean-Daniel Akpa Akpro
(Toulouse), Serge Aurier (Paris Saint-Germain)
Eric Bertrand Bailly (Espanyol), Wilfried Kanon
(ADO Den Haag), Sakia Tiene (Montpelier),
Kolo Toure (Liverpool), Ousmane Viera
(Rizespor)
Viungo: Roger Assale (Sewe Sport), Serey
Die (Basle), Ismael Diomande (St Etienne),
Cheick Doukoure (Metz), Max Gradel (St
Etienne), Cheick Tiote (Newcastle United),
Yaya Toure (Manchester City)
Washambuliaji: Wilfried Bony (Swansea City),
Seydou Doumbia (CSKA Moscow), Gervinho
(Roma), Salomon Kalou (Hertha Berlin),
Junior Tallo (Bastia), Lacina Traore
(Monaco).
0 comments:
Post a Comment