MSERBIA Goran Kopunovic atawasili Jumatano Dar es Salaam kwa ajili ya
kusaini Mkataba wa kuifundisha klabu ya Simba SC ya Dar es Salaam.
Rais wa Simba SC,Evans Elieza Aveva leo atakutaka na kocha Mzambia, Patrick Phiri kumtaarifu juu ya kumfuta kazi baada ya kutoridhishwa na mwenendo wa timu chini yake.
Na Kopunovic anatarajiwa kusaidiwa na Mnyarwanda, Jean Marie Ntagawabila hii ina maana Suleiman Matola naye aliyekuwa msaidizi wa Phiri ataondolewa.
0 comments:
Post a Comment