
Friday, October 31, 2014

SARE tano ilizopata Simba katika mechi zake za kwanza msimu huu zimeibua mambo na sasa baadhi ya vigogo wa Yanga wameweka wazi kwamba tat...
CAPELLO:MESSI JUU YA RONALDO
Friday, October 31, 2014
Kocha mkuu wa timu ya taifa ya Urusi Muitaliano Fabio Capello ameibuka na kusema nyota wa Barcelona Lionel Messi ni dhaidi ya mpinzani wake ...
ROMULO KUMKIMBIZA SANOGO ARSENAL
Friday, October 31, 2014
Baada ya kuibuka taarifa kuwa klabu ya Manchester United imeipiku Arsenal katika kiti cha uongozi wa kumtaka kiungo Sami Khedira,taarifa kut...
VILABU KUKUTANA KUIJADILI QATAR
Friday, October 31, 2014
Vilabu vikubwa barani Ulaya vitakutana wiki ijayo ili kutoa ombi kwa shirikisho la soka duniani FIFA kuandaa michuano ya dimba la dunia n...
LIGI KUU ENGLAND KUENDELEA KESHO JUMAMOSI
Friday, October 31, 2014
Kitimtim cha ligi kuu ya England kitaendelea tena kesho wakati ambapo mashabiki wa soka nchini humo na duniani kote watapata nafasi ya ku...
Thursday, October 30, 2014
MASHABIKI LIVERPOOL WARUDISHA JEZI ZA BALOTELLI
Thursday, October 30, 2014
HII ni kali. Mashabiki wa Liverpool wameripotiwa kurudisha jezi za Mario Balotelli walizonunua baada ya staa huyo kujiunga na timu hiyo i...
PAZI AKAMILISHA DILI LA KASEJA KUTUA SIMBA
Thursday, October 30, 2014
KOCHA wa zamani wa Makipa wa Simba, Idd Pazi, amesema sasa ni muda mwafaka kwa kipa, Juma Kaseja, kurejea kwenye kikosi cha klabu yake hi...
NYOTA WANNE YANGA KUIKOSA KAGERA LIGI KUU BARA
Thursday, October 30, 2014
WACHEZAJI wanne wa kikosi cha Yanga wataikosa mechi ya wikiendi hii dhidi ya Kagera Sugar baada ya kukumbwa na matatizo mbalimbali. Dakt...
TAMBWE ANUKIA YANGA
Thursday, October 30, 2014
MFUNGAJI Bora wa Ligi Kuu Bara msimu uliopita, Amissi Tambwe, kwa sasa anaonekana si lolote katika timu yake ya Simba ambapo amefunga ba...
Wednesday, October 29, 2014
ANCELOTTI NI NGUMU KUMNYAMAZISHA BLATTER
Wednesday, October 29, 2014
Kocha mkuu wa klabu ya Real Madrid Muitaliano Carlo Ancelotti ameibuka na kusema ni ngumu kumziba mdomo raisi wa FIFA Sepp Blatter. Ancelot...
SONG:MOYO WANGU UKO EPL
Wednesday, October 29, 2014
Kiungo wa klabu ya West Ham Alex Song amefunguka na kusema kuwa anafikiria kubaki katika ligi ya Epl pindi mkataba wake wa mkopo utakapoisha...
MANDZUKIC:GUARDIOLA ALINIKOSEA HESHIMA
Wednesday, October 29, 2014
Mshambuliaji Mario Mandzukic ameibuka na kudai kuwa aliyekuwa kocha wake katika klabu ya Bayern Munich Pep Guardiola alimkosea heshima. Man...
MSEMO WA HE SCORES WHEN HE WANTS WAMCHANGANYA SAKHO
Wednesday, October 29, 2014
Mshambuliaji matata wa klabu ya West Ham anayetesa katika ligi ya Epl Diafra Sakho (24) ametoa siri kuwa msemo wa kiingereza usemao ``He sco...
Tuesday, October 28, 2014
BAKHRESA,BINSLUM WANAVYOTUMIA UBONGO WA KEVIN O’LEARY KUFUNGA MAGOLI MAWILI KWA SHUTI MOJA.
Tuesday, October 28, 2014
“Kitu cha kwanza na muhimu kwenye vita ni pesa,Pesa inamaanisha vitu vingine vyote,Askari,bunduki na risasi”.Maneno ya hekima ya miongo...
MUUAJI WA SENZO MEYIWA BADO KITENDAWILI
Tuesday, October 28, 2014
Polisi nchini Africa Kusini wameanzisha msako mkali dhidi ya mtu aliyempiga risasi na kumuua kipa na kapteni wa timu ya taifa hilo Senzo ...
FLAMINI:SANCHEZ KAMA THIERRY HENRY
Tuesday, October 28, 2014
Kiungo wa klabu ya Arsenal Mfaransa Mathieu Flamini amemwagia sifa winga wa klabu hiyo Mchile Alexis Sanchez na kudai kuwa nyota huyo atapat...
Friday, October 17, 2014
MAISHA YA KIEMBA NA JUKWAA LA 2018: FURAHA NI UPOFU
Friday, October 17, 2014
Nilipata fursa ya kutizama mechi ya Taifa Stars dhidi ya Benin. Ndio ilipendeza kweli, kila mchezaii alitekeleza majukumu ipasavyo, timu ili...
BEKI YANGA ANUNUA VIATU VIPYA KISA OKWI/MESSI
Friday, October 17, 2014
Wakati kikosi cha Yanga kikitarajiwa kushuka uwanjani kesho Jumamosi kupambana na wapinzani wao wa jadi, Simba, beki wa kushoto wa timu...
YANGA YABADILI REFA MECHI VS SIMBA
Friday, October 17, 2014
Kamati ya Waamuzi nchini imemuondoa refa msaidizi namba moja, Ferdinand Chacha kuchezesha mechi ya watani wa jadi, Yanga na Simba, na naf...
Wednesday, October 15, 2014
PHIRI APEWE MUDA WA KUJENGA SIMBA YA MSIMU UJAO.
Wednesday, October 15, 2014
“Kazi ya pamoja(Teamwork) inaleta matokeo mazuri, lakini maono hayo huwa ndoto pale kiongozi anapokuwa na malengo makubwa huku ...
KUZIONA SIMBA NA YANGA JUMAMOSI BUKU 7,000
Wednesday, October 15, 2014
Kiingilio cha chini kwenye mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kati ya Yanga na Simba itakayochezwa Jumamosi (Oktoba 18 mwaka huu) Uwanja...
MICHEZO YA LEO YA KUFUZU AFCON 2015 MOROCCO
Wednesday, October 15, 2014
JUMATANO OCTOBA 15, 2014 Cameroun vs Sierra Leone (11 jioni) Togo vs Uganda (12:00 jioni) Cape Verde vs Msumbiji (12:30 jioni) Angola vs...
TALISCA AZIDI KUWACHONGANISHA WENGER NA MOURINHO
Wednesday, October 15, 2014
Klabu ya Arsenal inapanga kutoa kitita cha £8m ili kumsajili mlinzi wa kati wa klabu ya Celtic ya Scotland Muholanzi Virgil van Dijk mwezi j...
Friday, October 10, 2014
JE,NI KWELI SAN MARINO NDIYO TIMU KIBONDE ZAIDI DUNIANI?
Friday, October 10, 2014
Kabla ya mchezo wa jana alhamisi wa kundi D wa kusaka tiketi ya kushiriki michuano ijayo ya Ulaya (Euro 2016) kati ya England na San Mari...
SCHOLES:WILSHERE NA STERLING WARUDI KIKOSI CHA VIJANA U21
Friday, October 10, 2014
Nyota wa zamani wa kikosi cha timu ya taifa ya England Paul Scholes ambaye kwa sasa ni mchambuzi wa soka amesema kiungo wa Arsenal Ja...
IJUE TIMU YA TAIFA YA BENIN (Les Ecureuils)
Friday, October 10, 2014
Tukiwa tunajiandaa na mchezo wa kimataifa wa kirafiki kati ya timu yetu ya taifa (Taifa Stars)dhidi ya wageni timu ya taifa ya Benin maar...
Thursday, October 09, 2014
SANCHEZ:WENGER NATAKA KUCHEZA DAKIKA 90
Thursday, October 09, 2014
Nyota wa klabu ya Arsenal Alexis Sanchez amekiri kuwa anachukizwa mno na kitendo cha kuwekwa benchi na kocha Arsene Wenger na kuongeza kuwa...
SOL CAMPBELL:MWONDOENI GARY NEVILLE MNIWEKE MIMI
Thursday, October 09, 2014
Gary Neville anapaswa kuondelewa kuwa kocha wa England na nafasi hiyo akapewa Sol Campbell ,hiyo ni kwa mujibu wa Campbell mwenyewe. ...
BENZEMA AILILIA BARCELONA
Thursday, October 09, 2014
Mshambuliaji wa klabu ya Real Madrid Mfaransa Karim Benzema anaamini kuwa lazima klabu ya Barcelona ibaki La Liga hata kama jimbo la Ca...
Wednesday, October 08, 2014
PIGO ARSENAL OZIL NJE MIEZI MITATU
Wednesday, October 08, 2014
Huenda mtu mwenye wakati mgumu kwa sasa katika duru za soka duniani akawa ni kocha wa klabu ya Arsenal Mfaransa Arsene Wenger akiwa bad...
WENGER KUMWAGA NOTI JANUARI
Wednesday, October 08, 2014
Kocha mkuu wa klabu ya Arsenal Mfaransa Arsene Wenger anafikiria kutumia kiasi cha paundi milioni 60 za Uingereza kwa ajili ya kukiimar...
Subscribe to:
Posts (Atom)