Hatimaye klabu ya Barcelona yakamilisha usajili wa mlinzi na nahodha wa klabu ya Arsenal Thomas Vermaelen kwa mkataba wa miaka mitano,Vermaelen anafuata nyazo za wachezaji kama Thierry Henry,Overmass,Bronchosti,Hleb,Alex Song,Emanuel Petit na Sesc Fabregas kutua klabuni hapo wakitokea Arsenal.
PATA PICHA ZA UTAMBULISHO WAKE
PATA PICHA ZA UTAMBULISHO WAKE
This comment has been removed by the author.
ReplyDelete