Baada ya kipigo dhidi ya klabu ya Swansea City klabu ya Manchester United inapanga kufanya kila iwezalo kumsajili winga wa klabu ya Real Madrid Muargentina Angel Di Maria (26)
Habari kutoka gazeti la Daily Maily |
Angel Di Maria akichelekea ushindi wa ligi ya mabingwa |
Kutoka vyanzo mbalimbali vya habari vya Hispania na England habari zinasema Manchester United kupitia kocha wake mkuu Muholanzi Louis Van Gaal inapanga kutumia kiasi cha paundi 100m ili kumnasa nyota huyo.Hilo ni dau kubwa zaidi kuliko la vilabu vingine vinavyomtolea macho nyota huyo
Kiasi cha paundi 50m kitatumika kama ada ya usajili huku mshahara wake kwa wiki ukitarajiwa kuwa paundi 200,000.
0 comments:
Post a Comment