Habari na Paul Manjale
Klabu ya Manchester United imekamilisha usajili wa mlinzi Marcos Rojo kwa ada ya paundi milioni 16 na kumsainisha mkataba wa miaka mitano huku akikabidhiwa jezi namba 5 iliyokuwa ikivaliwa na mlinzi Rio Ferdinand aliyetimkia klabu ya Queens Park Rangers.
Rojo akiwasili makao makuu ya klabu ya Manchester United |
Wasifu mfupi wa Marcos Rojo
Kuzaliwa: March 20, 1990 (Umri 24)
Taifa: Argentinian (24 caps, 1 goal)
Nafasi: Mlinzi wa kati/Mlinzi wa kushoto
Vilabu: Estudiantes (2008-2011)
Spartak Moscow (2011-2012)
Sporting Lisbon (2012-2014)
Manchester United (2014-)
Yupo katika mahusiano ya kimapenzi na mwanamitindo Eugenia Lusardo ambaye wamezaa nae mtoto wa kike aitwaye Moreno
Akiwa Ureno Rojo amevuna jumla ya kadi 27 za njano na nyekundu 5 akiwa na klabu ya Sporting Lisbon.
0 comments:
Post a Comment