Wallace Karia
Dar Es Salaam,Tanzania.
Shirikisho la soka Tanzania (TFF), limemtangaza Makamu wa Rais wake, Wallace Karia kuwa Kaimu Rais wa TFF akichukua mikoba ya Rais Jamal Malinzi mpaka hapo sakata lake likapokamilika.
Wakati huohuo Salum Madadi ametangazwa kuwa kaimu katibu mkuu wa TFF, akishikilia nafasi ya Celestine Mwesigwa ambaye pia ameshikiliwa na vyombo vya dola.
0 comments:
Post a Comment