728x90 AdSpace

Monday, July 03, 2017

SINGIDA UNITED YATAMBULISHA USAFIRI WAO MPYA


Dar Es Salaam,Tanzania.

SINGIDA UNITED imeendelea kuonyesha kuwa inataka kuwa moja ya klabu za mfano hapa nchini hii ni baada ya leo Jumatatu kutambulisha basi lao jipya ambalo itakuwa ikilitumia kwa safari zake mbalimbali za michezo ya ligi kuu bara na ile ya kombe la shirikisho.

Utambulisho wa basi hilo lenye thamani ya Shilingi Milioni 330 umefanyika kwenye hoteli ya Lamada iliyopo Ilala jijini Dar Es Salaam na kushuhudiwa na waandishi wa habari.


  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: SINGIDA UNITED YATAMBULISHA USAFIRI WAO MPYA Rating: 5 Reviewed By: Unknown