
Tuesday, July 04, 2017

Dar Es Salaam,Tanzania. Shirikisho la Soka Duniani (FIFA) limefuta mpango wake wa kutuma wawakilishi wake nchini Tanzania kwa aj...
DIDA OUT YANGA,MAKIPA WAWILI WAONGEZWA JANGWANI
Tuesday, July 04, 2017
Dar Es Salaam. KIPA mahiri nchini, Deogratius Munishi ‘Dida’, msimu ujao hatakuwa sehemu ya kikosi cha mabingwa wa kihistoria wa l...
EVERTON YAZIDI KUKIONGEZEA SUMU KIKOSI CHAKE,YAMNASA KEANE WA BURNLEY
Tuesday, July 04, 2017
Liverpool, England. ILI kuhakikisha kuwa inakuwa na kikosi kipana,kikali na chenye uwezo wa kufanya lolote msimu ujao, Everton i...
Monday, July 03, 2017
LUKAS PODOLSKI AJIUNGA NA KOBE
Monday, July 03, 2017
Tokyo, Japan. NYOTA wa zamani wa Arsenal,Bayern Munich na timu ya taifa ya Ujerumani,Lukas Podolski ameihama Galatasaray na ku...
SINGIDA UNITED YATAMBULISHA USAFIRI WAO MPYA
Monday, July 03, 2017
Dar Es Salaam,Tanzania. SINGIDA UNITED imeendelea kuonyesha kuwa inataka kuwa moja ya klabu za mfano hapa nchini hii ni baada ya...
RASMI:JOHN TERRY ATUA ASTON VILLA
Monday, July 03, 2017
Birmingham,England. KLABU ya Aston Villa inayoshiriki ligi daraja la kwanza nchini England maarufu kama Championship imetangaza ...
MALINZI NA WENZAKE WANYIMWA DHAMANA,WARUDISHWA RUMANDE
Monday, July 03, 2017
Dar Es Saam,Tanzania. RAIS wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi na Katibu Mkuu wake Selestine Mwesigwa wamenyimwa...
USAJILI:EVERTON YAMNASA RAMIREZ
Monday, July 03, 2017
London, England. EVERTON imeripotiwa kukamilisha usajili wa mshambuliaji hatari wa Malaga ya Hispania,Sandro Ramirez,21. Kwa...
Sunday, July 02, 2017
STARS YAIZIMA AFRIKA KUSINI,YAPENYA NUSU FAINALI COSAFA
Sunday, July 02, 2017
Rustenburg, Afrika Kusini. TIMU ya taifa ya Tanzania,Taifa Stars kwa mara ya kwanza leo imefanikiwa kufuzu hatua ya nusu ya fainali ya m...
KAMATI YA UTENDAJI YA TFF KUKUTANA TENA JUMANNE
Sunday, July 02, 2017
Dar Es Salaam. Kamati ya Utendaji ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, itakutana tena kwa dharura siku ya Jumanne Julai 04, 2017 kw...
URENO BILA RONALDO YATWAA NAFASI YA TATU KOMBE LA MABARA
Sunday, July 02, 2017
Moscow, Urusi. IKICHEZA bila ya staa na nahodha wake,Cristiano Ronaldo,Ureno imetwaa nafasi ya tatu baada ya kufanikiwa kutoka n...
ROBO FAINALI COSAFA:KOCHA BAFANA BAFANA AANZISHA WANANE WAPYA KABISA DHIDI YA TAIFA STARS LEO,VIKOSI VYOTE VIKO HAPA
Sunday, July 02, 2017
Rustenburg, Afrika Kusini. KOCHA MKUU wa Bafana Bafana,Stuart Baxter ameamua kuanzisha wachezaji wanane wapya kwenye kikosi chake ...
MCHAKATO WA UCHAGUZI MKUU WA TFF WASITISHWA
Sunday, July 02, 2017
Dar Es Salaam,Tanzania. KATIKA hali isiyotarajiwa mchakato wa Uchaguzi Mkuu wa kuwapata viongozi wapya wa Shirikisho la Soka nch...
MANNY PACQUIAO KWISHA HABARI YAKE ADUNDWA NA MWALIMU WA SHULE YA MSINGI NA KUPOKONYWA MKANDA WA WBO
Sunday, July 02, 2017
Brisbane,Australia. BONDIA wa Ufilipino,Manny Pacquiao ameendelea kuonyesha dalili za kutorejea tena kwenye makali yake ya zaman...
REKODI MBAYA DHIDI YA BAFANA BAFANA ZAICHONGEA TAIFA STARS
Sunday, July 02, 2017
Rusternburg,Afrika Kusini. TIMU ya taifa ya soka ya Tanzania,Taifa Stars leo jioni mishale ya saa 12:00 za jioni itashuka kwenye...
Subscribe to:
Posts (Atom)