728x90 AdSpace

Saturday, June 17, 2017

Orodha kamili ya wagombea wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi TFF


Dar Es Salaam,Tanzania

SHIRIKISHO la soka nchini Tanzania (TFF) leo limetoa orodha kamili ya wagombea wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi katika shirikisho hilo.

Wagombea hao ni wale waliojitokeza jana Ijumaa na leo Jumamosi katika ofisi za TTF, Karume jijini Dar es Salaam.

Ifuatayo ni orodha kamili ya wagombea pamoja na nafasi wanazogombea

URAIS
Jamal Malinzi
Imani Madega
Wallace Karia
Fredrick Masolwa

MAKAMU RAIS
Mulamu Nghambi
Michael Wambura
Geofrey Nyange

WAJUMBE WA KAMATI YA UTENDAJI

Soloum Chama
Ephraim Majinge
Elias Mwanjala
Saleh Alawi
Kaliro Samson
Vedastus Lufano
Kenneth Pesambili
Mbasha Matutu
Samwel Daniel
Dunstan Mkundi
Athuman Kambi
Shaffi Dauda
Golden Sanga
Charles Mwakambaya
Benista Rugola.
Thabit Kandoro
Goodluck moshi
James Mhagama 
Husen Mwamba
Sarah Chao
Isaa Bukuku
Stewat Masima
Emmanuel Ashery
Abdul Sauko
Musa Sima 
Stanslaus Nyongo
Ayoub Nyenzi
John Kadutu
Baraka Mazengo
Khalid Mohamed 
Mohamed Aden
Cyprian Kuyava
Saleh Abdul

  • Blogger Comments
  • Facebook Comments

0 comments:

Post a Comment

Item Reviewed: Orodha kamili ya wagombea wanaowania nafasi mbalimbali za uongozi TFF Rating: 5 Reviewed By: Unknown