Habari na Paul Manjale




















Soka ni mchezo unaoingiza pato kubwa sana kwa vilabu ndiyo maana kila siku tunaona vilabu vikitumia pesa nyingi katika kununua wachezaji wapya,kulipa mishahara mikubwa na mambo mengine.Ifuatayo ni orodha ya vilabu tajiri zaidi England.
20. Bournemouth: £104million
19. Sunderland - £121million

18. Leicester - £133million
17. Watford - £133million

16. Aston Villa - £165million

15. Norwich - £166million

14. West Brom - £175million
13. Swansea - £183million

12. Crystal Palace - £186million

11. Stoke City - £192million

10. West Ham - £215million

9. Everton - £216million

8. Newcastle - £221million

7. Southampton - £259million

6. Liverpool - £537million

5. Tottenham - £710million

4. Chelsea - £826million

3. Manchester City - £907million

2. Arsenal - £1,118million

1. Manchester United - £1,848million

0 comments:
Post a Comment