
Wednesday, November 23, 2016

Viongozi wa klabu ya simba umesema hautacheza mchezo wowote wa ligi dhidi ya watani wao wa jadi Yanga endapo waamuzi hawatatoka nje ya nchi ...
Ratiba ligi ya vijana U20, Yanga Sc vs Azam Fc uhuru Stadium leo
Wednesday, November 23, 2016
Na Faridi Ozil Miraji Leo juma tano Nov 23 itapigwa michezo Minne (4) ya ligi soka vijana Chini ya miaka 20 kwenye viwanja viwili hapa Dar ...
Kocha Hans Pluijm alimwa Faini
Wednesday, November 23, 2016
Na Faridi Ozil Miraji Kocha wa yanga, Hans Van Pluijm amepigwa Faini ya Sh 5000,000 na kufungiwa mechi 3 baada ya wakati wa mapumziko kuwaz...
Kocha wa Azam Atupwa jela ya TFF na Faini
Wednesday, November 23, 2016
Na Faridi Ozil Miraji Mechi namba 116 ( Mbao Fc vs Azam Fc) Kocha wa Azam Fc Zeben Hernandez amefungiwa mechi tatu (3) na Faini ya Sh 500...
Tuesday, November 22, 2016
Refa Matrin Saanya, Samuel Mpenzu na Rajabu Mrope waitwa kikaangoni
Tuesday, November 22, 2016
Na Faridi Ozil Miraji Uchunguzi dhidi ya waamuzi Matrin Saanya, Samuel Mpenzu ( mechi ya Yanga vs Simba) Thomas Mkombozi ( mechi ya Coastal...
Samatta nje tuzo mchezaji bora Afrika
Tuesday, November 22, 2016
Na Faridi Ozil Miraji Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania Mbwana Ally Samatta ametupwa nje katika tuzo za mchezaji bora barani Afrika mwa...
Wednesday, November 02, 2016
Tuesday, November 01, 2016
Kocha Stewart Hall atambulishwa rasmi AFC Leopards.
Tuesday, November 01, 2016
Nairobi,Kenya. ALIYEKUWA kocha mkuu wa zamani wa klabu ya Azam FC,Mwingereza Stewart Hall,jana Jumatatu alitambulishwa rasmi kuwa kocha m...
Ligi ya mabingwa Ulaya:Arsenal,PSG dimbani leo,Muda wa mechi wasogea mbele
Tuesday, November 01, 2016
Basel,Uswisi. LIGI ya mabingwa wa Ulaya maarufu kama UEFA Champions League inatarajiwa kuendelea tena leo na kesho kwa michezo 32 kuchezw...
Subscribe to:
Posts (Atom)