728x90 AdSpace

  • Latest News

    Tuesday, April 19, 2016

    ZESCO UNITED YAWA YA KWANZA KUTINGA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA

    Ndola,Zambia.

    Mabingwa wa Zambia Zesco United wamekuwa wa kwanza kutinga hatua ya makundi ya michuano ya klabu bingwa Afrika baada ya jioni ya leo kuichapa Stade Malien ya Mali kwa mabao 2-1huko katika dimba la Mwanawasa,Ndola.

    Mabao ya Zesco United yamefungwa dakika za 5 na 82 na Jesse Jackson
    Were na Maybin Mwaba huku Stade Malien wao wakipata bao la kufutia machozi dakika ya 58 kupitia kwa Moussa Coulibaly.

    Kwa matokeo hayo Zesco United imefanikiwa kuitupa nje ya michuano hiyo Stade Malien kwa jumla ya mabao 5-2 baada ya mchezo wa kwanza kushinda kwa mabao 3-1.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Post a Comment

    Item Reviewed: ZESCO UNITED YAWA YA KWANZA KUTINGA MAKUNDI LIGI YA MABINGWA AFRIKA Rating: 5 Reviewed By: Unknown
    Scroll to Top